RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GOSPEL TEAM YAWATWANGA 4-1 TIMU YA TUMAINI MEDIA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA KENTON SINZA MORI
Kama ilivyokawaida ya timu zenye upako wa Mungu kugawa dozi za uhakika kwa wapinzani wake. Jana Gospel Team iliwaweka sawa na na kuwapa warning kuwa next time wanavyokuja wajipange sawa na wawe na upako wa Mungu wa kuwashinda wao.  Tuangalie matukio

Kikosi cha timu ya Gospel

 Kikosi cha timu ya Tumaini Media
 Refarii Hudson Kamoga akiongea na makepteni kabla ya mechi kuanza
 Timu ya Gospel na Tumaini zikiwasalimia kabla ya mechi kuanza

 Baadhi ya washabiki wakishuhudia mpambano
 Mtangazaji wa Praise Power, Deogras Pius (DP) kulia hakuwa mbali na mpambano.. na siku hii alikuwa daktari wa timu zote mbili
 Mfungaji wa goli la kwanza, Gerady (kulia)
 Mtangazaji wa Praise Power, Kisaka wa kwanza na anayefuatia ni mtumishi Stanle kutoka katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B
 Mwimbaji wa nyimbo za injili Jerry (kulia) na mtangazaji wa Praise Power Erick Brighton (katikati) na ndiye mratibu wa Gospel Team akiwacheki wana wakifanya mambo
Add caption
 Mzee wa Blogu na Creative Director wa kampuni yake inayoitwa Rumafrica and Africhina, akiwa amepigilia pamba zake za kumtukuza Mungu siku ya mechi. Na ndiye aliyezipiga hizi picha


Timu ya nje akisubiria kuingia ndani kupiga manyanga 
Goalkeeper wa Gospel Team akifanya mambo

Comments