MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

KAMATI YA MAANDALIZI YA "GET TOGETHER PARTY" YAMTEMBELEA

 1. MFANYABIASHARA (WAKALA WA FORODHA) EMMANUEL KWAYU-MNAZI MMOJA

DEALER: CLEARING AND FORWARDING AGENT, IMPORT AND EXPORT CONSULTANT, COMMISSION AGENT

Huyu ni mpedwa na ni mjasiliamali ambaye siku ya leo utamwona katika party itakayofanyika "The Atrium Hotel" Sinza Afrikasana. Usikose kwani utajifunza mengi kutoka kwake.
Hakutakuwa na kiingilio chochote, party itaanza saa 12:00 jioni 

Hii ni banner ya kampuni ya mpendwa Kwayu
Wasiliana naye kwa
Barua Pepe: info@dolphincargo.com
Tovuti:www.dolphincargo.com
Simu:+255 715 4223383
 Yard ya magari ya Bwana Kwayu

 Mtangazaji wa Channel 10 Boniface Magupa kushoto

 Mtangazaji wa Praise Power, Erick Brighton (kushoto)
Blogger , Rulea Sanga (kushoto)

2. PRODUCER WA GFF PRODUCTION - PASCAL KINUKA
Producer Pascal Kinuka ni producer anayetengeneza nyimbo za injili Tanzania, ameshatengeneza nyimbo nyingi kama Kiza, Solomon Mukubwa, na wengine wengi.

 Producer Pascal Kinuka akiwa katika studio yake

 Blogger na Graphic Designer, Rulea  Sanga ndani ya GFF Production
 Gitaa likung'utwa
 Mtangazaji wa Praise Power, George Mpella (kulia)
 Mtangazaji wa channel 10, Boniface Magupa
Blogger Rulea Sanga na mwimbaji wa Whisperz Daniel Mayaula (kulia)

0