RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MDOGO WA MAREHEMU ANGELA CHIBALONZA AFUNGA PINGU ZA MAISHA

RUMA AFRICA inakupa hongera kwa kupata jiko BwanaMeshack. Natumaini umepata kitu chema kutoka kwa Mungu. Tete huyo brother uliyempata ni baraka tosha kutoka kwa Mungu. Ni wangapi wanakosa kupata mume au mke lakini ninyi Mungu amewakumbuka. Sina uhakika ila nadhani mafanikio yenu ni kutokana na maombi yenu na kuwa waaminifu kwa Mungu. Waimbaji ni wengi na ni maarufu sana lakini bado hawana waume au wake zao, unafikiri ni kwanini?

Ndoa yenu na iduma na iwe mfano kwa waamini na ni mengi tunategemea kujifuna kwenu.

Tete ni mdogo wake na mwimbaji wa injili nchini Kenya, marehemu Chibalonze. Tete ameamua kuongeza jina lake baada ya kuunganishwa mwili wake na mwili wa mume wake meshach, na leo hii Tete anaitwa Tete Meshack.

Tete amebahatika kuwa na album yake inayoenda kwa jina la "Nimepata Rafiki"


Comments