TB JOSHUA IMAGES WI MSG

WATCH EMMANUEL TV LIVE

RUMAFRICA ONLINE TV UTAPATA KUJUA MENGI KUTOKA KWA WATU MBALIMBALI WALIOHOJIWA NA RUMAFRICA.

RUMAFRICA ONLINE TV UTAPATA KUJUA MENGI KUTOKA KWA WATU MBALIMBALI WALIOHOJIWA NA RUMAFRICA.
Rumafrica Online TV imefanyika baraka kwa walio wengi, watu wameweza kujua mambo mengi kutoka kwa waimbaji wa Gospel, wachungaji, wainjilisti, Manabii na watu mbalimbali waliweza kuhojiana na Rumafrica. Sasa Bonyeza hiyo picha ili uweza kusikia mahojiano ya watu mabalimabali wakieleza maada mbalimbali na maisha yao. Kama ungependa na wewe kufanya mahojiano na Rumafrica, wasilinana nasi kwa simu +255 715 851523 au tuma barua pepe; rumatz2012@gmail.com

NABII GAMBA KUWASHA MOTO USIOZIMKA WA INJILI KATIKA VIWANJA VYA TABATA SHULE DAR ES SALAAM TANZANIA

NABII GAMBA KUWASHA MOTO USIOZIMKA WA INJILI KATIKA VIWANJA VYA TABATA SHULE DAR ES SALAAM TANZANIA

IBRAHIM AHAZ SANGA KUKUSANYA WAIMBA ZAID YA 20 KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA UMMWEMA JUMAPILI

AGD WAVUNJA MBAVU KWA KUCHEZA NA WAELEZEA VITU WANAVYOFANYA KWAAJILI YA MUNGU

RUMAFRICA CONTACTS

Saturday, September 8, 2012

MUNGU MKUBWA AMTETEA PASTOR YOUCEF NADARKHANI SASA KUACHIWA HURU BAADA YA KUSHINDA KESI LEO WAPENDWA NWALIFUNGA NA KUOMBA DUNIANI KOTE KWA AJIRI YAKE

Mchungaji Youcef ambayo amekuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka mitatu  sasa kwa kosa la kuusaliti uislamu na kuwa mkristo hatimaye kuachiwa huru wakati wowote. Taarifa tulizozipata kutoka katika mahakama ilikofanyika hukumu hiyo leo zinaeleza kama ifuatavyo.

Tunamshukuru Mungu kwa kumuweka huru ndugu yetu  na kujibu  maombi yetu. Mchungaji Nadarkhani Youcef imekuwa huru na hakupatikana na hatia kutoka kwa washitaki wake waliomshitaki wa evangelizing Muslims. ametakiwa kuwa gerezani kwa miaka mitatu lakini adhabu hiyo tayari amesha itumikia.  Amekuwa kifungo cha miaka 3 hivyo ataachiwa haraka sana. Tutawajuza wakati tutakapo kuwa na uthibitisho wa siku ya kuachiliwa kwake.
Pastor Youcef akiwa kizuizini
Pastor Youcef akiwa na familia yake kabla ya kuwekwa kizuizini

Blog hii inaungana wa watu wote walioomba na waliohusika kwanamna yoyote ile kumshukuru Mungu kwa hili alilotenda awali mchungaji huyu alikuwa anakabiliwa na hukumu ya kunyogwa sasa kama kaachiliwa huru tena katika nchi kama Irani kwanini tusiseme yeye ni Ebenezer hata sasa amemsaidia Jina la Bwana libarikiwe.

habari ya kufanan ya jana kabla ya kesi
http://www.martmalecela.blogspot.com/2012/09/unamkumbuka-mch-youcef-nadarkhani-kesho.html
Chanzo cha habari hapo chini

We give thanks to God for his deliverence and the answer to our prayers. Pastor Youcef Nadarkhani has been acquitted of apostasy and found guilty of evangelizing Muslims. He has been sentenced to 3 years in prison which he has already served and will be released on bail very soon. I will let you know when we have confirmation of his release.

Please don't forget what happened to Pastor Mehdi Dibaj who had his apostasy charges reversed and then was murdered shortly after his release. Pray for him, his family and everyone involved in his case.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...