Sikiliza
ushuhuda mwingine huu wa mtoto aliyekufa na kumuombea akafufuka: Mtoto
kafa toka saa tatu na wasabato wakawa
wanaombea. Na waliposema aje kuombewa kwangu wakasema Nabii Flora ni Freemason. Waliomba kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa
mbili usiku ngoma imeduda. Dada mmoja akasema mimi mtoto wangu alifariki hivi
hivi na akzikwa, na huyu tena anafariki kama wa kwanza, sikubali. Huyu dada
anaishi na Wasabato hata kama yeye ni Mwislamu na Mtoto wa kwanza . Baba yake
alimwambia kwasababu umeachana na mumeo, mimi ninakusomea albadili na mwanao
ataenda kufa na kweli motto alikufa. Ninataka niwambie kila mwenye karama
usimuonee. Wasabato wakamwambia nabii Flora Freemson, mchawi lakini baada ya
kuja hapa ngoma ikainuka (mtoto akafufuka).
Mtoto huyu alipokuwa ameletwa hapa akiwa amekufa mama yake alikuwa
hawezi kumbeba.

Kulia ni mama akiwa na mwanae aliyekufa na sasa ni mzima. katikati ni Nabii Flora Peter aliyemuombea mtoto kufufuka. Kushoto ni Mchungaji Komba
Mtoto huyu aligeuka kuwa kijivu rangi yake na weupe wake uliisha wote. Nikajisemesha mwenyewe kuwa kifo sio issue yakutisha, masaa mawili ya huyu mtoto kufa sio shida kwangu. Kama Yesu alifufua Lazaro aliyekufa siku nne kaburini, Yesu akamwambia lazaro inuka, tokea nje na Lazaro akatokea akiwa mzima, Yesu akasema zifunie zile leso, wakamutoa miguuni na kichwani. Na mimi nikasema kwa Mungu Watanzania wanaonisema vibaya, wao watasema na mimi Nabii Flora nitatamka. Watu wanasema Nabii Flora anavaa sketi na mimi ninasema mimi ni kama mwanajeshi niko kikazi na ninapambana na maadui kama mwanajeshi na ni lazima nivae kijeshi.

Mama akiwa na mtoto wake aliyekufa na kufufuliwa na Yesu Kristo kwa kupitia Nabii Flora Peter
Mama aliyefiwa na mwamnae alikuwa na haya yakusema: Kwa jina ninaitwa Lazia Nassimu na ni Mkulia kutoka Musoma. Mwanzoni nilizaa mtoto wa kwanza, nikiwa na ujauzito wake niliota ndoto ninapatwa na ugonjwa wa degedege. Nilipojifungua huyo mtoto na alipofika umri wa mwaka mmoja na miaka tisa (kama umri wa huyu mtoto wangu wa pili aliyekufa ba Nabii Flora kwa nguvu za Mungu amemfufua). Usiku nikaoota ndoto kama nimebeba jeneza na ninaenda kuzika. Kwa kweli kesho jioni kama saa kumi akaanza kupigwa ile degdege, ikabidi nimpeleke hospitalini. Nilipompeleka hospitalini na ilipofika saa saba usiku huyu mtoto akafariki. Na kumbuka wazazi walinambia ya kuwa ukizaa watoto watakuwa wanakufa kwa sababu unaenda kwa Wakristo. Na mimi toka mdogo nilikuwa natamani sana kwenda kanisani ka Romani na makanisa mengine lakini nikawa napigwa marufuku kwenda makanisani.
Baada ya huyu mtoto kufariki nikatembea katika makanisa ya kilokole na sikupata
jibu ikabidi niende kwa Wasabato. Ilipofika jioni kesho yake nikaota ndoto tena
kuwa mtoto wangu anapigwa degedege nikamtaarifu mchungaji , mchungaji akasema
tutaomba. Sasa kesho yake watu wakang’ang’ania kuwa nimpeleke tena hospitalini,
na mimi nikasema hapana ngoja nimpeleke kwa Nabii Flora Peter. Kwa kweli
nilipofika hapa kanisani kwa nabii Flora mototo wangu alishakwisha kuchoka
kabisa na niliogopa na ikabidi nimtupe mbali na mimi.
Wasabato na watu wengine wakajua hakuna kitu tena na wakawa wamenisusia na mimi
nikachukua uamuzi wa kuja naye kwa nabii
Flora.

Nabii Flora alikuwa na haya ya kusema juu ya mtoto aliyekufa: Kwa kweli mtoto huyu nilimbeba alikuwa akinizidi uzito, na nikaamua kumuweka chini. Baa ya kumuombea alipiga chafya tatu na hapo hapo alifufuka na sasa ni mzima. Mama yake aalilia kuona kweli mtoto wake kafufuka. Yesu yupo anafufua wapendwa! Kuna dada anaitwa Mariamu wa Morogoro, kuna kaka mmoja amemaliza sasa chuo walikufa lakini Yesu kwa kupitia Nabii Flora waliweza kufuka.
Watu wanaposikia sasa kuwa Nabii Flora anafufua watu, wanajipanga kupigana na mimi. Mimi sio mchungaji mimi ninaona kama watu wa zamani za kale mtu aitwaye Nabii aliitwa muonaji na hivi sasa anaitwa Nabii. Maana ya Unabii sio jina wala ujiko bali ni kutambua.
Mpiga Picha ni Octavian
mwandishi ni Rumafrica
Kama unataka kufika kanisa hili panda magari ya Tegeta shuka kituo cha Mbezi Mbuyuni uliza kanisa la nabii Flora Mbezi Salasala.
Wasiliana nasi kwa simu hizi
Nabii Flora Peter +255 657 442699
Octavian +255 716310661

Comments