RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RAIS WA GLORIOUS CELEBRATION BAND AFUNGUKA


Aron Mboto Ze Prezidaaa wa GC

Rais bendi ya kumsifu na kumuabudu Mungu ambayo hivi karibuni ilipatwa na mkasa wa kugawayika na kuzaa makundi mawili ambayo ni Glorious Celebration Band na ile Glorious Worship Team amepasha habari kuwa kwasasa wapo katika maandalizi makali ya album yao mpya watakayo iachia hivi karibuni! ambayo amekiri kuwa anauhakika nayo na anaamini itazidi kulipa kundi lake heshima zaidi kwa mashabiki na sifa kumrudia Bwana.So kaa tayari kwa album hiyo!

Comments