
Askofu Kulola

Tukiwa kama Mwili Wa Kristo tunayo haja ya Kuunganisha Imani Zetu na popote ulipo kumbuka kumuweka katika maombi Askofu Mkuu wa kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (E.A.G.T) Dkt. Moses Kulola ambaye amelazwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza akipatiwa matibabu ya kiafya

Askofu Kulola na mmoja wa wajukuu zake akiwa hospitalini kwa matibabu.

Katikati ni Askofu Moses Kulola
Picha kwa hisani ya Flora Mbasha habari kwa Hisani Ya Gospel Kitaa
Comments