Ooh Yesu nakupendaaa, Ulinipenda kwaanzaaa
Napenda siku zooootee, nikutumikieeeeeee!

Najaribu kutafakari kuhusu maisha yangu najikuta nazidi kumpenda sana Mungu... coz kama ni maisha ya raha na ya shida nayajua vizuri sana.. kuishiwa mpaka senti ya mwisho najua.. kula mchicha tu najua, kulala njaa najua, kwenda kula nnachotaka pale Hyatt regency au Serena najua, kula maharagwe na ugali najua, kula pizza na burger najua, kupanda ndege najua, kutembea kwa miguu najua, kukaa kwenye kiyoyozi najua, kupigwa jua na vumbi najua, kupata hela najua, kuumizwa najua, kupendwa najua, kulipa kodi ya nyumba najua, kulipa umeme, maji, tv channels, internet...najua. LAKINI PAMOJA NA KUPITIA HAYO YOOOTE, MUNGU ALIKUWA UPANDE WANGU NA MKONO WAKE HAUKUPUNGUKA HATA SIKU MOJA, NA NDIO MAANA LEO NAMTUKUZA. ACHA DUNIA YOTE IJUE KWAMBA NAKUPENDA EE MUNGU WANGU ULIYENIUMBA.

Comments