RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EDSON MWASABWITE AMSHUKURU MUNGU KUONGEA NA STARA THOMAS KWAAJILI YA KAZI YA MUNGU



Namshukuru kwa nafasi na wakati mwingine alionijalia hata sasa. Leo nimeongea na Stara Thomas kuhusu kushirikiana nae katika nyimbo yangu mpya, namshukuru kwa kukubali hilo na tutakwenda kurekodi wimbo pamoja naye ili kuzidi kumsifu Mungu na kumwimbia pamoja. Kaa tayari kwa hilo pia event tutakayoifanya pamoja nae mwezi ujao jijini mbeya ya kusifu na kuabudu. Mungu wangu wa mbinguni akubariki sana mpendwa.

Stara Thomas

Comments