RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

FACEBOOK: MCHAWI AAGNGUKA AKIWA ANAWANGA KUTOKA ANGANI


Mchawi pichani alianguka na ungo alipokua akijaribu kupaa juu ya Kanisa ,Inaripotiwa kwamba (mchawi pichani) alikua akipambana na Kanisa na alimwambia Mchungaji kwamba kati yetu wawili mmoja atakufa ili kuona nani ana nguvu kubwa zaidi.
Asubuhi hii ya leo ,Mshtuko mkubwa sana umewakumba waumini wa kanisa ambapo waumini wachache waliokuwa wakitoka kusali waliuona mwili wa mchawi yule live bila chenga ukiwa na mkono wa binadamu mdomoni akiwa na Kirungu mkononi mwake! ambacho hutumia kupaa katika mida ya usiku.hakika kibano alichopewa hakina Mfano.
"Mtu yoyote anaetaka pambana na wewe atakufa kwa nguvu ya mungu"
COMMENT AMEN usipotezeee

Comments