Mkutano mkubwa kufanyika
Toronto Canada chini ya Bishop Zackary Kakobe.Siku ya jana akizungumza
na vyombo vya habari kueleza jinsi anavyo jisikia furaha kufika na jinsi
alivyo jipanga kuhubiri kwa siku mbili June20 7:00Pm at Tennis Canada
Grounds,Sunday June23 7:00Pm at Toronto on M3N 3A6.Tizama Video ya Press
Conference baada ya kufika Toronto Canada. Picha za mapokezi ya Bishop
Zackary Kakobe baada ya kufika Toronto Canada.
Bishop Zackary Kakobe akizungumza na vyombo vya habari.
Big Up Jimmy
Bishop Zackary Kakobe akizungumza na vyombo vya habari.
Big Up Jimmy
Comments