RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KONGAMANO LA AKINA MAMA NA MABINTI KATIKA KANISA LA RGC TABATA CHANG'OMBE

Kongamano hili ni la siku 6 za kuondoa AIBU kwa mwanamke na kupokea UREJESHO wa kibali na neema ya Bwana. Kongamano litafanyika RGC Tabata Chang'ombe kuanzia 11/06/2013-16/06/2013 saa 6:00 mchana - saa 1:00 jioni
Tangazo hili limetengenezwa na Rumafrica: +255 715 851523

Comments