RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALEX MSAMA - MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTIONS APATA AJALI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfEpdKwzf35mCd1xFu63rm3ryWNM_to8crPUf-tTYmOqQ27OAT8d7vLl9Vzil4NvbzR3lby8KXICmACJLUCgyaNEaZduFAWJSGaPYMkiFHur8Ne5PxSYS0I0NYxTUAnUOq_GqgJ8zA7A/s1600/Alex22.jpg
Ni baada ya kupata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea Dodoma.

.Chazo cha ajali kilitokana na yeye kumgonga kijana aliyekua akiendesha basikeli na matokeo yake gari aliyokua akiendesha kupinduka mara 3.Kwa sasa Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.

Comments