RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HABARI PICHA : KEKE NA SEKELETI NDANI YA TANZANIA



Silas Mbise katikati, Haris Kamoga akifafanua jambo huku Keke akimtazama kwa makini.

Keke kushoto pamoja na Ephraim Sekeleti.

Ephraim, Mess pamoja na Keke.

Ephraim Sekeleti akifurahia jambo.

Ai Laizer wa WAPO Radio akitoa tabasamu murua na waimbaji.

Keke akifafanua jambo kwa hisia kali huku Harrison akimtazama.


Mahojiano yakiendelea ndani ya WAPO RADIO Fm, Nuru ya Jamii.

Kama ulifanikiwa kusikia mahojiano ya moja kwa moja kutoka kituo cha Radio cha WAPO Radio FM Jumamosi usiku, basi ulipata picha mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Afrika Kusini, Kekeletso Phoofolo, almaarufu pastor Keke anafanafanaje kwa sauti na uchangamfu.

Mwimbaji huyu hakuwa peke yake, aliambatana na Ephraim Sekeleti, mtafsiri wao, Hudson kamoga, na wadau wengineo.

Source: Gospel Kitaa

Comments