RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MLEZI WA WATOTO YATIMA, WARRA NNKO WA KITUO CHA SHALOM ORPHANAGE AFUNGUA BLOG YAKE

Watu wengi wamekuwa wakifika katika kituo cha watoto yatima na kuwafariji hawa watoto na wengine wamekuwa wakitamani sana kuangalia katika mitandao lakini wakawa wanakosa.

Warra Nnko akiwa na watoto anaowalea


Kutokana na uhitaji huo wa watu kuona kinachoendelea katika kituo hicho ndipo Warra Nnko aliamua sasa kufungu blogu. Hii ni hatua nyingine na ni wazo zuri sana, watu wataona na pia itasaidia watu kuona na kujua ili waweze kumuunga mkono

 Blogu inaenda kwa link hii www.shalomorphange.blogspot.com iliyotengezwa na Rumafrica +255 715 851523






Comments