RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI GLORIA MULIRO KUTOKA AFRIKA MASHARIKI AINGIA KATIKA TUZO ZA KORA AWARDS




Gloria Muliro Owendi amekua muimbaji wa peke kutoka Kenya aliyengia kwenye tuzo za Kora akiwa nominated on the Kora Awards Top African Artistes of the week.Gloria ni muimbaji wa Gospel Kenya anayefanya vizuri katika mziki wa injili huko.



Ili kumpigia kura nenda kwenye page ya Kora:
Bofya hapa
 kisha andika "Gloria Muliro" utakuwa umepigia kura yako

Comments