RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

LUVANDA HARDWARE KARIAKOO WAJA NA PUNGUZO LA BEI LA VIFAA VYA UJENZI VYENYE UBORA

Kama wewe unataka kufanya ujenzi kwa bei nafuu na kwa kutumia vifaa bora, basi huna jana ya kuhangaika na kusumbuka kutafua ni wapi unaweza kupata punguzo la bei. Mkombozi wako LUVANDA HARDWARE sasa ameona kilio cha Watanzania na wameamua kuvuta machozi yao kwa kuuza vifaa vya ujenzi kwa bei ya chini kabisa ukifanananisha na sehemu zingine ulizozizoea.

Watu wengi waliofanikiwa kununua bidhaa hizi katika duka la vifaa vya ujenzi la LUVANDA HARDWARE Kariakoo wataungana na mimi na kusema kile nachosema ni kweli. Ukifika utakutana na vijana watanashati wenye kujali mteja na kumsikiliza. LUVANDA HARDWARE hakika ni mkombozi wa Watanzania. Unaweza kupata bidhaa kwa bei ya jumla

Bidhaa zote za LUVANDA HARDWARE zina lebo ya ZAM, kwahiyo ukiona lebo hiyo basi ujue bidhaa hizi zinasambazwa na LUVANDA HARDWARE. Hakuna mtu mwingine anayesambaza bidhaa hizi za ZAM zaidi ya LUVANDA HARDWARE.






Comments