RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA TUPO KATIKA MAANDALIZI YA FILAMU MPYA YA ODAMA

Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuanza zoezi hili la kuandaa filamu ya Jennifer Kyaka ODAMA nikiwa na Crew nzima ya J-FILM 4 LIFE. Kazi hii sio ndogo hata kidogo. Usione watu wanaonekana katika luninga ukajua mambo huwa ni bwelele..Watu wanateseka sana katika maandalizi ya filamu. Lakini Mungu anazidi kututetea katika kazi hii ambayo kwa sasa ni siku ya tatu toka tumeanza.

Tuone baadhi ya matukio.
Kutoka kulia ni Director Lamata, Wastara wa marehemu Sajuki, Odama, mama,hawa wa mbele ni Rulea Sanga (kushoto)



 Nikiwa na Ashura wa makeup
 Kazi pevu, nikiwa na boom kwaajili ya masauti
 Nyuma kulia ni Hemed (HB, Rulea Sanga. Kwenye coach ni Odama na Wastara
Rulea Sanga
Rulea Sanga
Katikati ni main character wa filamu hii anaitwa Jada
Rulea Sanga na Wastara

Rulea Sanga na Wastara
 Rulea Sanga na Jada
 Rulea Sanga katika pozi
 Rulea Sanga akiwasiliana na marafiki
Rulea Sanga akiwa na Hemed, Odama, Abdul

Comments