RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ZACHARIA KENYATTA KUIZINDUA ''SASA NI ZAMU YANGU TAREHE 10/08/2014

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Zacharia Kenyata amekamilisha albamu yake ya pili iitwayo SASA NI ZAMU YANGU na tarehe 10 Mwezi ujao ataizindua pale Nyantare hall,Tabata Bima. Waimbaji ambao watamsindikiza Kenyata ni pamoja na Jane Misso, Mfalme wa kanzu, Fredy Ndula, Matha Ramadhan na Christina Matai.

Usikose ndugu yangu katika uzinduzi huu.


Comments