RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHAMUITA IMEACHIA MZIGO MPYA WA TSHIRTS KWA WANAMUZIKI WA INJILI TANZANIA.



Umefika wakati wa kuwa na sare kwa wanamuziki wa Injili Tanzania...Hii itasaidia sana tunapokuwa na mikutano yetu au miaaliko maalumu kwenda huku tukiwa na sare zetu. Kama watu wa mabenki au vikundi mbalimbali wanakuwa na sare kwanini sisi tusiwe na sare...hakuna sababu. Tshirts zinapatikana Rumafrica Sinza Afrikasana sokoni au wasiliana na Mzee wa mablog Rulea Sanga kwa simu +255 715 851 523. Waweza ingia www.rumaafrica.blogspot.com

Comments