RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MCHUNGAJI S. PETER AMEACHIA ALBAMU YAKE YA KISURA. JIPATIE NAKALA YAKO MADUKANI.

 Mch. S. Peter

Mbali na uchungaji pia ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, huyu ni Mchungaji S. Peter ambaye kwa sasa Mungu amempa uwezo na maarifa makubwa sana katika uimbaji. Nyimbo zake zinamguso wa ajabu sana ukisikiliza. Hakika Mungu atabaki kuiwa Mungu tu. Kazi ya Bwana inazidi kupaa juu kwasababu kuna wale wampendao wanaotumia mali zao na muda wao kwa kazi ya Mungu. Umefika wakati wa kumuunga mkono Mchungaji huyu ili aweze kufanya vikubwa zaidi ya hiki alichokifanya. Utamuunga mkono kwa kununua Audio CD yake madukani au fika katika ofisi za Rumafrica zilizoko Sinza Afrikasana. Unaweza kuwasiliana naye kwa simu hii +255 757 416 761 au +255 712 351 372.
 Kwa uwezo wa Mungu Rumafrica imehusika kikamilifu kulitengeza hili cover. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa ubunifu huu. Mungu na azidi kuishikilia Rumafrica ili izidi kumtukuza Mungu kwa mambo mabalimbali . Unaweza kuwasiliana na Rumafrica kwa simu hii  +255 715 851 523.
 Rumafrica inamuombea mtumishi wa Mungu ambaye ana majukumu mengi sana kwa huduma ya Mungu azidi kusonga mbele na kufanya kazi ya Mungu. Kazi anayofanya sio bure mbele za Mungu, ipo siku atalipwa na kuketi na Mungu wetu huko paradiso.
Tunakuomba sana wewe mdau na unayependa kazi ya Mungu isonge mbele ununue hii DVD ambayo itafanyika baraka na kizazi chako. Unachotakiwa ni kuchukua ule ujumbe unaoibwa na kuufanyia kazi kwa vitendo, usibaki unaburudika bila kufanyia kazi huu ujumbe ambao mchungaji huyu ameuleta kwako kutoka kwa Mungu kwa njia ya uimbaji.

Mungu akubariki sana
Wako katika Bwana
Rulea Sanga
RUMAFRICA FOR ALL NATIONS

Comments