RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MFAHAMU MCHUNGAJI FAITH MBATHA KUTOKA NCHI YA KENYA

Mwinjilisti Faith Mbatha ni mtumishi wa Mungu kutoka nchini ya Kenya. Mungu anamtumia kwa njia ya pekee sana, watu wengi wamekombolewa kwa kupitia huduma yake ya uimbaji na uinjilisti. Mbali na kufanya kazi ya Mungu nchini Kenya, Mungu ameweza kufika hata nje ya Kenya na watu wamekombolewa sana.
Rumafrica iko katika harakati za kumtafuta mwimbaji na mwinjilisti huyu kufanya naye mahojiano juu ya huduma yake.

 Mchungaji Faith Mbatha
  Mchungaji Faith Mbatha
  Mchungaji Faith Mbatha
  Mchungaji Faith Mbatha
  Mchungaji Faith Mbatha

Comments