RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MH. JANESTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA IBRAHIMU AHAZI SANGA.

Naibu Waziri wa Elimu Mh. Janesta Mhagama kuwa mgeni rasmi katika tamasha kubwa la uzinduzi wa albamu ya Ibrahim Ahazi Sanga litakalofanyika jijini Dar es Salaam katika jengo maarufu sana Tanzania la Ubungo Plaza. Tunakuomba sana uweze kufika siku hiyo ili ujumuike pamoja na wakristo wenzako kwa kumsindika mwimbaji huyu mabye anazindua albamu yake.
http://polis.parliament.go.tz/images/Pictures/1155.jpg
Mh. Janesta Mhagama mbali na kuwa na majuku mengi ya ujenzi wa Taifa ameweza kutenga muda wake kwaajili ya kazi ya Mungu kwa kuungana na Wakristo watakaofika katika kumuunga mkono Ibrahimu Ahazi Sanga.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_gbulwmaI2sKnA1p-HltreaZqVBr0Z7HHKO-FxOyqLXLKG__r_1mWmSOKbnw4Z3sUMS2MkXtdXWYp68KgtRNl7fif_-sTVUh1AqDdi-OkssXJoGw0P7YoS3oWFpI-PQHMqDSWYaNiIRg/s1600/w32.jpg
Ujio wako ni wa muhimu sana kwa maana bila ya wewe kufika unafikiri huyu mwimbaji ataupeleka wapi ujumbe wa Mungu ambao amepewa kwaajili yako!! Natumaini tutakuwa wote siku hiyo, kwani kutakuwa na waimbaji mbalimbali kama wavyoonekana katika tangazo


Comments