RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UNANGOAJA NINI WEWE MWANAMUZIKI WA INJILI KUJIPATIA KITAMBULISHO CHAKO?

Ni habari njema kwa mwanamuziki wa Injili Tanzania kuwa na kitambulisho kitakachokutambulisha wewe kuwa ni mwezetu katika ulimwengu wa muziki wa Injili Tanzania. Kuna mambo mengi y=utafaidika kama utajiunga na chama hiki cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), kitakutetea kwa mambo mengi ya kimuziki na pia kusaidiana pale unapokuwa na shida au jambo fulani linalokusibu. Chama kipo kwaajili yako wakti wa shida na raha. Kuna mambo mengi utafaidika kwa kupitia chama hiki. Kutana na viongozi watakueleza mengi kuhusu CHAMUITA.

Kama  unataka kitambulisho lazima uwe na vitu vifuatavyo:

1. Jina lako kamili
2. Saini yako, Picha yako ya passport
3. Kama ni mwimbaji binafsi au kikundi
4 Sanduku lako la Posta au mahali unapoishi
5 Tshs. 10,000 ya kitambulisho
6. Tshs 20,000 ya uananchama


Unaweza kutuma details zako wa watsap +255 715 851 523. Hata pesa ya kitambulisho waweza kutuma kwa namba hiyo au fika katika ofisi yetu Sinza Afrikasana sokoni

Comments