RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EMMY KOSGEI WA KENYA KUTIMIZA MIAKA 10 YA UIMBAJI WAKE...SIO MCHEZO JAMANI

Hii inapendeza sana kuona mtu unathamini kile Mungu alichokupa yaani karama yako au kipaji chako. Mungu anapokupa kitu ambacho mwenzalko amenyimwa unapasa kukiheshimu na kukilinda na kukithamini kwa njia yoyote ile. Emmy alitambua hilo na ndio maana leo katuonyesha kwa vitendo..

Kuandaa tamasha kwaajili ya kujipongeza kunahitaji pesa nyingi sana na pia muda mwingi sana wa maandalizi. Emmy Kosgei wa Kenya ambaye mwimbaji wa nyimbo za Injili bila ya kujali gharama na kupoteza muda wake kwaajili ya maandalizi, alifumba macho na kutambua ni nani anamfanyia hilo tamasha. Tunapaswa kumpongeza sana dada yetu kwa kazi analiyoifanya na anayoendelea kufanya.

Katika siku zote za maisha yake, dada huyu aliona ni Jumapili ndiyo siku pekee kwake kufanya uzinduzi wa albamu yake ya SOBER CHEISO katika ukumbi wa NPC Valley Road. Cha kustajabisha katika uzinduzi huo ni pale tu mke wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Ida Odinga akiwa na mume wa Emmy Kosgei, Bwana Aselm Madubuko na wazazi wake walipoweza kutia timu ukumbini kwaajili ya kazi moja tu ya kumtukuza Mungu kupitia uimbaji wa mwanadada huyu wa Yesu Kristo.


Kama ilivyo kawaida kwa vijana na wazee wa kipindi hiki cha dot com, wanapotaka kufanya vitu viziuri, hufanya boila hata ya kujali gharama au kukatishwa tamaa. Emmy aliweza kuimba LIVE na sio playback kama tulivyozoea kwa waimbaji wengi duniani. Hii inaonyesha alijipanga kisawasawa katika vocal na vyombo. Katika uimbaji wake wa LIVE aliongeza vionjo vya kutumia DJ ambaye kama kawaida za ma-dj kusugua sahani, ilisuguliwa mpaka basi !!!!

Award winning gospel singer Emmy Kosgei Madubuko siku ya J/pili alifanya lauched ya album yake ya DVD “Sobei Cheiso” katika ukumbi wa NPC Valley Road.Watu mbalimbali walifika katika tukio ilo la ainya yake akiwemo the wife of former prime minister Ida Odinga pamoja na mume wa Emmy Kosgei Aselm Madubuko and her parents.
Baada ya burudani ya muziki wake kulifatia ‘memorable’ alipoanzia muziki wake na mpaka kufikisha miaka 10 akiwa amedumu kwenye tasnia ya Gospel.Vile vile Emmy alialika waimbaji wengine ambao walifanya vizuri kama……SARAH K,EUNICE NJERI AND VICK KITONGA,MBUVI,JULIANA NA MARY ATIENO



















Comments