RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HOPE ORGANIZATION WAKISHRIKIANA NA GLORIOUS WORSHIP TEAM INAKULETEA FREE WORSHIP FRIDAYS

Baada ya watu kukosa sehemu za kumtukuza Mungu siku ya Ijumaa, HOPE ORGANISATION wamekuandalia siku maalum kila Ijumaa, watu wa Mungu wanakusanyika pamoja kwaajili ya kumtukuza Mungu kwa njia ya kusifu na kuabudu. Kuna mambo mengi yatakuwa wakizungumziwa kutoka kwa watu mbalimabali.

Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523

Comments