RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAKAMU WA PILI WA RAISI WA SERIKALI YA ZANZIBAR MH. BALOZI SEIF ALI IDD KUSHIRIKI MAOMBEZI YA KUOMBEA AMANI NA UTULIVU TANZANIA KATIKA KANISA LA RESTORATION BIBLE CHURCH MDALUA KIBAHA


Amani na Utulivu katika taifa lolote ni jambo la muhimu sana. Machafuko ya kivita yakitokea katika nchi husababisha maafa makubwa sana kama vile njaa, magonjwa, kukosa amani, uchumi kuyumba, taifa kuwa tegemezi, vifo, elimu kushuka chini, n.k. Baada ya kutambua hayo kanisa hili limeamua kufanya maombezi kwaajili ya amani na utulivu Tanzania.

Mbali na maombezi pia kutakuwa na burudani kutoka kwa waimbaji mbalimbali kaka wanavyoonekana katika otangazo/ Uimbaji huu utasindikizwa na ucahangiaji wa ujenzi wa kanisa hilo. Unaombwa sana kuhudhuria mkutano huu mkubwa ambao haujawahi kutokea Kibaha.

Siku hiyo kutakuwa na maombezi kwa wanaokoka na wenye uhitaji. Njoo upokee muujiza wako sasa kupitia kwa watumishi wako watakaokuhudumia siku hiyo, kwa maana hawa wapo kwaajili ya kukuombea kwa Mungu ili uondokane na tatizo linakusumbua kwa muda mrefu.

Tangazo limetegenezwa na Rumafrica +255 715 98515123

Comments