RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA, IBRAHIM AHAZ SANGA AZUNGUMZIA HISTORIA YA MAISHA YAKE NA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA UMWEMA SIKU YA JUMAPILI UBUNGO PLAZA


Kuna vitu ambavyo hujui kuhusiana na mwimbaji huyu wa nyimbo za Injili, lakini kwa kupitia interview hii utapata kujua mengi kuhusiana na maisha yake. Huwezi kuamini kuwa mwimbaji Ibrahim Ahazi Sanga alikuwa akipiga kinywaji yaani pombe na baada ya hapo anajichanganya kuimba  kwaya, alikuwa akifanya haya yote kabla ya kuokoka, na pia amenusurika ajali mara tatu na haitoshi amekula sana nyama za matambiko.

Sasa ninakuomba umsikilize kwa makini na utaweza kujua mengi  na ni lini tamasha lake litafanyika ambalo litakuwa na waimbakji zaidi ya kumi na nane akiwemo Rose Muhando, Mess jacob Chengula, Upendo Nkone, Masanja Mkandamizaji, Nesta Sanga, Stella Joel na mume wake Yelonimo Mwalo, na wengine wengi sana.

Unaweza kuwasiliana naye kwa simu +255 754 474 245 au +255 784 500 108. Kama ungependa kufanya mahojiano na Rumafrica wasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523.

Comments