RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MTOTO WA MIAKA MIWILI AKIMCHEZEA MUNGU WAKE

Kama mtoto mdogo kama huyu anaona umuhimu wa kumsifu Mungu, iweje wewe mtu mzima siku nzima inaisha hata kuimba wimbo mmoja wa kumtukuza Mungu wako inakuwa shida...Mungu wako amekulinda kuanzania ulipoamuka kitandani mpaka sasa, lakini unashindwa hata kumtukuza Mungu wako..hii ni aibu sana.

Mtoto wa miaka miwili hata kama hajatambua nini anakifanya kwaajili ya Mungu, bado amenga'ang'ani kulisakata rumba la Yesu. Najua wewe ni msomaji mzuri wa Biblia na unajua maana ya kusifu jinsi inavyoelezwa katika Biblia. Basi nakuomba uimbe wimbo wowote kwaajili ya kumtukuza huyu Mungu wako. 

Comments