RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAZEE WAPYA WA KANISA LA KKKT MTAA WA MABWEPANDE USHARIKA WA KIJITONYAMA WATEULIWA

Wakazi wa Mtaa wa Mabwepande kanisa la K.K.K.T chini ya Usharika wa Kijitonyama siku ya Jumapili ilikuwa ni ya baraka kwao. Wazee wapya walioteuliwa kusimama katika nafasi ya wazee wa mtaa huo, Waliwekwa wakfu na kuingizwa kazini na Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kijitonyama Mchungaji Daniel Mbowe akishirikiana na Mwinjilisti Kamnde wa Mtaa huo jana waliongoza ibada hiyo walipowaaga wazee wa kipindi kichopita wa kuwakaribisha wazee wapya. Ibada hiyo pia ilihudhuriwa na kwaya ya Uinjilisti toka sharikani Kijitonyama pamoja na kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa huo. Waliipamba ibada hiyo.

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama

Sehemu ya wazee walioteuliwa na washarika waliofika ibadani jana.

Kwaya ya Uinjilisti Mabwepande.

Wakati wa Neno Mchungaji Daniel Mbowe akihubir

Kanisa lilifurika watu wengine wakaa nje

Mzee aliyemaliza wakati wake akipokea zawadi ya cheti cha utumishi mwema.

Ndugu Eliasi Mboya akisoma neno.

Mchungaji Daniel Mbowe akiwaombea na kuwaweka wakfu wazee wapya walioteuliwa

Mwinjilisti Kamnde akisoma Neno.
Maombi yakiendelea

Kama wanavyoonekana wakati wa zoezi zima la kuwekwa wakfu wazee hao

Sehemu ya nje ya Kanisa hilo

Ndugu Kuttyferra aliteuliwa kusoma neno
Anociata Holela akisoma neno

Mchungaji Daniel Mbowe akiweka wakfu gari la Mwinjilisti Kamnde

Mwinjilisti Kamnde na familia yake wakizindua gari lao.

Gari hili limezinduliwa kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, AMEN

Bwana Mungu abariki kuingia kwenu na kutoka kwenu tangu sasa na hata milele. Ibada ikaisha hivo

SOURCE: K JUNIOUR

Comments