RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: JAMANI KUNA WATU WANAWEZA KUIGIZA, MUANGALIE ATOSHA KISSAVA, FURAHA ISAYA NA VENERANDA BUGERAHA WAKIIIGIZA. PIA VENERANDA ATAKUJUZA JUU YA TAMASHA LAKE LA JUMAPILI HII YA 30.11.2014.

Furaha Isaya, Veneranda Bugeraha na Atosha Kissava ni waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Mungu amewapa kipaji kingine cha uigizaji. Katika clip hii utaona moja ya kazi yao ya uigizaji waliyofanya katika ofisi ya Rumafrica. Mungu hakuishia hapo pia amewapa kipaji kingine cha ubunifu wa mavazi. Siku ya tarehe 31.11.2014 ataweza kuzindua albamu yake ya AMETENDA katika ukumbi wa Landamark ulioko Riverside Ubungo na kutakuwa na FASHION Show. Waimbaji kibao watakuwepo siku hiyo. Niankuomba uangalie clip hii utajifunza mengi.

Comments