Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema wake na upendo wake wa kufanikisha tamasha kubwa la kuzindua DVD ya Stella Joel siku ya Jumapili 09.11.2014 katika kanisa takatifu la KKKT Mabibo External jijini Dar es Salaam.
Tunamshukuru sana Mungu wetu kwa kupata kibali cha kuwa na mgeni rasmi Mh. Dk. Peter Kafumu Mbunge wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kwa kushiriki katika zoezi zima uzinduzi wa DVD ya Stella Joel. Mungu na azidi kutukuzwa kwa huruma yake juu ya huduma ya Stella Joel ambayo imekuwa baraka kwa waimbaji wengi Tanzania.
Pia tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuweza kuwa na Mh. Martha Mlata Mbunge wa Singida kushiriki nasi katika kumuunga mkono dada yetu Stella Joel. Tunatambua ameacha kazi zake nyingi za ujenzi wa Taifa letu na ameweza kufika jijini Dar es Salaam kwa kazi ya Bwana. Mungu akubariki sana.
Mungu azidi kuwabarikia waimbaji ambao kwa moyowao wa upendo waliweza kuacha kazi zao na kuungana na Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki Tanzania Stella Joel kuzindua albamu yake ya HAKUNA MWANAMKE MBAYA.
Mungu amegusa mioyo ya watu kwa kupitia waimbaji wake walioimba kwa kiwango cha tofauti kabisa. Baadhi ya waimbaji ni Mh. Martha Mlata, Madam Ruti, Mess Chengula, Manesa Sanga, Joyce Ombeni, Lilian, Rose Joel, Kwaya ya KKKT, Solomon Mukubwa, Addo Novemba, Edson Mwasambwite, Yeronimo Mwalo na wengine wengi kama utakavyowaona katika picha hapo chini.
Pia kulikuwa na vyombo vya habari kama vile Star TV ikiwakilishwa na Sauda Mwilima na Crew yake, Redio Maalum kutoka Arusha ikiwakilishwa na John Pazia, Rumafrica Online TV ikiwakilishwa na Rulea Sanga na wengine wengi.
Tunawashukuru wenyeji wa kanisa la K.K.K.T kwa upendo wao walionyesha wa kutusaidia kupata kanisa la kufanyia tamasha hili. Mungu na azidi kuwalinda na kuwatetea kwa kila jambo kuanzia waumini hadi viongozi wa juu wa kanisa hili.
KIPINDI CHA KUSELEBUKA KWA YESU
KIPINDI CHA MGENI RASMI KUTOA AHADI YAKE KWA STELLA JOEL
PICHA ZA BAADHI YA WAIMBAJI WALIOSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILI

Mh. Martha Mlata (kushoto) akiwa na mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora Mh. Peter Kafumu

KIPINDI CHA KUSOMA RISALA YA STELLA JOEL
John Shabani akisoma Risala
John Shabani akiwa na mwanadada wa Yesu Stella Joel
KIPINDI CHA KUKABIDHI RISALA KWA MGENI RASMI MH. PETER KAFUMU

Mchungaji wa kanisa hili la KKKT Mabibo External akiongea jambo
Mh. Dkt. Peter Kafumu
KIPINDI CHA KUIOMBEA DVD YA HAKUNA MWANAMKE MBAYA KABLA YA KUKATA UTEPE

Edson Mwasabwite akifanya maombezi
Wa pili kutoka kushoto ni Mch. Mzungu Four
Ma-MC wakifanya yao
Mtangazaji wa Star TV Sauda Mwilima alikuwepo
Mh. Martha Malata akiwa na furaha kuona kazi ya Bwana inasonga
KIPINDI CHA KUSELEBUKA KWA YESU
Mdogo wake na mwanamuziki wa nyimbo za kijamii FD Q Kubanda, Bwana Yohana kubanda mwenye rasta akiselebuka ndani ya Yesu
KIPINDI CHA KUZINDUA DVD YA STELLA JOEL
KIPINDI CHA KUZINDUA DVD YA STELLA JOEL
Mtangazaji wa Radio Maalum Arusha, Pazia John (kulia) akitafuta habari..Kushoto ni Camera man wa Star TV
Mh. Martha Mlata akimkaribisha mgeni rasmi Mh. Dkt. Peter Kafumu kuizindua DVD
Kushoto ni Mess Chengula na Madam Ruti
KIPINDI CHA KUNUNUA DVD YA STELAA JOEL
KIPINDI CHA KUNUNUA DVD YA STELAA JOEL
Mchungaji wa Mlima wa Moto Mikocheni B Stanley Nko akiinunua DVD
Mess Chengula na Mh. Martha Mlata
Madam Ruti akipokea DVD kutoka kwa Mh. Dkt. Peter Kafumu
Ibrahim Sanga katikati akiinunua DVD
Edson Mwasabwite akiinunua DVD
Tumaini Njole (wa pili kutoka kulia) akisubiri kupokea DVD
Manesa Sanga akimsapoti Stella Joel kwa kununua DVD Yake
Manesa Sanga (kushoto) na Mh. Martha Mlata
Jane Misso akiandika majina ya watu wanaonunua DVD ya stella Joel
Joyce Omben akinunua DVD
Lilian akinunua DVD
KIPINDI CHA MGENI RASMI KUTOA AHADI YAKE KWA STELLA JOEL
PICHA ZA BAADHI YA WAIMBAJI WALIOSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILI
Mbunge wa Singida Mh. Martha Mlata akiongea Neno kabla ya kuanza kuimba
Mh. Martha Mlata akiimba
Solomon Mukubwa akimpongeza Mh. Martha Mlata
Ibrahim Sanga akimwimbia Mungu wetu
Lilian (kushoto) na Tumaini Njole
Mch. Mzungu Four (kulia)
Joyce Ombeni akiimba na baada ya kuimba alimtabiria mwanamke aliyekuwa akisumbuliwa na uvimbe tumboni kuwa Mungu amemponya.
Joyce Ombeni
MC kutoka Iringa
Edson Mwasabwite
Mh. Martha Mlata akifurahia uimbaji wa Edson Mwasabwite

John Shabani ndiye aliyesoma Risala ya Stella Joel
Solomon Mukubwa kutoka Kenya aliyekonga miyo ya watu na wengine wakabaki kulia kutokana na uimbaji wake.
Kulia ni Madam Ruti
Madam Ruti wa Jana imepita
Madam Ruti (kushoto) akiwa na Jane Misso
Manesa Sanga
Manesa Sanga akienda sawa na Mbunge Mh. Martha Mlata
Jane Misso
Mh. Martha Mlata akimtambulisha Rais wa Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania, Addo Novemba (kulia)
Kutoka kulia ni Stella Joel, Addo Novemba, Emmanuel Mabisa na Mh. Martha Mlata
Mess Chengula
Mess Chengula
Dada Swai

Comments