RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MANESA SANGA (HUYO NI CHAGUO LAKO) ATOBOA SIRI YA MAISHA YAKE

 Manesa Sanga


Ulikuwa wakati mgumu sana pale tu Manesa Sanga alipoanza kueleza siri ya maisha yake hasa kuanzia maisha ya kuuza nyanya kichwa mpaka sasa amekuwa mtu maarufu kwa nyimbo zake za kumtukuza Mungu. Manesa Sanga aliamua kutoa shuhuda ya maisha yake huku akiwa na huzuni akikumbuka alikotoka. Nisikumalizie uhondo, sasa nakuomba usikie ushuhuda huu.



Manesa Sanga

Comments