RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MESS JACOB CHENGULA AMEACHIA WIMBO WA KUIOMBEA TANZANIA

Mess Jacob Chengula wa  kabila la Kikinga mkoani Iringa ambaye  makazi yake yako jijini Dar es Salaam, ameweza kutimiza ndoto yake ya kutunga wimbo wa kuiombea Tanzania amani na utulivu hasa kipindi cha uchanguzi wa Rais ambao unategemewa kufanyika hivi karibuni. Wimbo huu ukiusikiliza hakika utaweza kutambua kuwa Mess Jacob Chengula ni mzalendo na ni mtu mwenye kujituma katika kufanya kazi ya MUNGU na kulitumikia Taifa lake la Tanzania. Mbali na wimbo huu pia alishatoa albamu yake ya "MUNGU HABARIKI"
 Mess Jacob Chengula


SIKILIZA HUU WIMBO WA MUNGU IBARIKI TANZANIA

Comments