RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GLORIOUS WORSHIP TEAM (GWT) SUNDAY CELEBRATION KUFANYIKA UKUMBI WA VICTORIA PETROL STATION-DAR

Baada ya kuwasha moto katika hoteli ya Ginang Restaurant, sasa GWT kufanya kazi ya Mungu katika ukumbi wa VICTORIA Petrol Station ulipo Victoria, barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili 29/03/2015 saa 9 Alasiri na cha kushangaza ni kwamba kipindi hiki ni bureeeee kabisa. Unachoombwa ni wewe kuja na ndugu na jamaa zako ili siku hiyo tukamtukuze Mungu wetu wa mbingu. Tunaenda kuvunja nguvu za shetani kwa njia ya uimbaji.

Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523

Watu waliweza kufika katika Sunday Celebration Season I waliweza kufunguliwa na kushuhudia kwa njia ya sms jinsi Mungu alivyoweza kuwatendea katika maisha yao kwa kupitia uimbaji. Sasa na wewe usikose Jumapili hii.

Barikeyz Mmbaga atakuwepo siku hiyo

Comments