RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JOHN, LOVENESS MWAIKAJA, NAJAEL MBARUKU NA REBECCA MWALINGO SASA WANACHAMA HALISI WA CHAMUITA

Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) Kimeweza kutoa vitambulisho vya uanachama kwa waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambao wanaonekana hapo chini. Sasa wanaweza kupata haki zao zote kama waimbaji kutoka CHAMUITA. Chama kinawapongeza sana kwa uimuzi wenu, Mungu awabariki sana. Na wewe kama ungehitaji kuwa mwanachama basi wasiliana na Katibu mwenezi Stella Joel kwa namba hii +255 756 846 166 na utaelekezwa jinsi ya kuwa mwanachama na faida za kuwa katika familia ya CHAMUITA. Vitambulisho vinapatikana Rumafrica +255 715 851 523. Hvi vitambulisho   vimekatwa  kwa usalama zaidi



Comments