RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KATIBU MWENEZI WA CCM MH.NAPE ALIVYOKUWA KIBAHA PRECIOUS CENTER AKIONGEA NA WACHUNGAJI WA EFATHA

Inapendeza kuona baadhi ya viongozi wa ngazi za juu sana serikalini wakiungana mkono na watumishi ya wa Mungu kwa kubadilishana mawazo na kuinua kazi ya Mungu. Siku za hivi karibuni katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mh. Nape aliweza kufika Kibaha Precious Center kwa Mtume na Nabii Josephate Mwingira kuongea na wachungaji. Mh. Nape aliweza kuongea yake na kuwatia moyo wachungaji kuendelea kufanya kazi ya Mungu kwani watu wote tupo duniani kwaajili ya kufanya kazi ya Mungu. Rumafrica inafanya jitihada za kuweza kupata hotuba yake. Mungu akubariki sana

Nabii na Mtume Josephate Mwingira (kushoto) akiwa na Mh. Nape




Comments