RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KONGAMANO KUBWA LA PASAKA NDANI YA KANISA LA R.G.C MIRACLE CENTER TABATA CHANG'OMBE KWA MTUME PETER NYAGA

Kongamano kubwa litakaloongozwa na Mtume Peter Nyaga wa kanisa la RGC Tabata Chang'ombe akioshirikiana na Arch-Bishop Authur Kitonga na Nabii Isack Nyaga wote kutoka Kenya, watawasha moto wa injili kwaajili yako wewe ili uweza kuinua imani yako ya kumtumikia Mungu na kukumbusha juu ya kumtumikia Mungu wako bila kuchoka. Ni wakati wako wa kufika kanisa hapo kupokea kile ambacho Mungu amekiweka kwa watumishi hawa watatu walioamua kushirikiana kufanya kongamano hili la pasaka. Mungu atakwenda kufanya jambo katika kongamano hili la kipekee. Jitahidi kuja na rafiki yako au ndugu yako ili naye apate muujiza wake. Mungu akubariki sana.
Tangazo limetengezwa na Rumafrica

Comments