RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UPENDO KAAYA KAPERA AMEJIUNGA RASMI NA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA (CHAMUITA) SIKU YA IJUMAA

Upendo Kaaya Kapera baada ya kuona faida zitokakanazo na kuwa mwananchama wa CHAMUITA aliamua kwa mapenzi yake kujiunga na chama hicho ili awe na uhakika na huduma yake ya uimbaji inalindwa na Mungu na pia CHAMUITA kinahakikisha mwimbaji huyu anapata haki zake sawa kama mwimbaji au mwanamuziki wa Injili Tanzania. Ukitaka kuona wananchama wengine waliojiunga na CHAMUITA bonyeza HAPA
Vitambulisho vinatengezwa na Rumafrica +255 715 851 523. Hiki nimfano, kuna maelezo mengine hayajaonyesha

Comments