RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NABII Dk. LUCY NATASHA WA NAIROBI KENYA NDANI YA RUMAFRICA GOSPO Online MAGAZINE

Nabii Dk. Lucy Natasha kutoka nchini Kenya anategemea kuwasili Tanzania hivi karibuni katika mkutano wa siku 4 za UREJESHO ulioandaliwa na Mtume Peter Nyaga wa Kanisa la R.G.C Miracke Center Tabata Chang'ombe Tanzania. Nabii huyu ni kati ya Manabii waliobahatika kuzunguka nchi mbalimbali dunia kwaajili ya kuhubiri Injili na kuwatabiria watu. Watu wengi wamepokea majibu yao kutokana na mahubiri yake na nguvu za Mungu zilizomo ndani yake. Unaweza kuona baadhi ya video zake kwa KUBONYEZA HAPA


Kama ungependa kutangaziwa kazi yako au huduma yako katika gazeti letu ambalo ni Online, wasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523

Comments