RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA GOSPO Online MAGAZINE PAGE ITAKAYOONYESHA DVD 5 ZA NGUVU

Gazeti la Rumafrica linazidi kusonga mbele, hivi sasa tumefikia hatua ya kutengeza kurasa za ndani baada ya kutoa front page nyingi sana kipindi cha nyuma. Leo hii nimekurushia page itakaoonyesha albamu katika mfumo DVD na AUDIO tano za NGUVU na pia kumuelezea kidogo mwimbaji wa albamu hiyo ilichaguliwa. Kama ungependa kuweka cover lako basi wasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523 nasi tutaweza kurusha katika mitandao mbalimbali ikiwa pamoja na Istagram, watsap groups, blogs, website, facebook n.k. Haitoshi tutakuwa tunaweka katika blogu yetu na kuweza kulink na video zako zilizoko Youtube

Comments