RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA IMEKUANDALIA KURASA ZITAKAZOKUWA ZIMO KATIKA GAZETI LA RUMAFRICA Online MAGAZINE

Rumafrica bado iko katika maandalizi ya kurasa zitakazokuwa zikitokea katika gazeti lake la Rumafrica Gospo Online Magazine hivi karibu, na leo ingependa kukuonyesha page mbili zitakazo kuwa zinaonyesha albamu za waimbaji wa gospel na mawasiliano yao na pia page kwaajili ya shuhuda na mahubiri kutoka katika makanisa mbalimbali. Kama ungependa kazi zakona huduma yako ionekanana watu wengi sana kwa njia ya mitandao basi wasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523



Comments