RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO, SARAH AMESEMA AMERUDI KATIKA HUDUMA YAKE YA UIMBAJI

Mwimbaji Wa Gospel Tanzania anayefahamika kupitia Wimbo Wake Wa Natamani Sarah Charles Ndosi Awashauri Mabinti wengi ambao wakishaolewa au Kupata Watoto Huacha Huduma,Sarah amesema "Hata mimi nilikua nauliza zamani, lakini nikiwa kama mama wa mtoto mwenye miezi 4 na nimerejea kwenye huduma kanisani, ya kusifu na kuabudu. na jibu ni sio kitu RAHISI, inahitaji uwe na nidhamu, na comitment ya hali ya juu, na kujituma huku ukijua kwa hakika unaye mtumikia anauwezo wakushugulikia mahitaji yako yote. Nimejifunza kua Mungu alitumba sisi wanawake kua multipurpose yani mtu anayeweza kufanya vitu vingi kwa wakati moja. ukiwahudumia wa nyumbani mwako na pia ukiwahudumia wa nyumbani mwa Bwana.

Nakutia moyo, pamoja nakulea,pamoja na shule, pamoja na majukumu mengi ulio nayo Mungu bado anakuhitaji umtumikie.
We were called to serve, serve Him with all your strength."


Comments