RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: SIKILIZA MAHOJIANO KATI YA SILAS MBISE NA DANIEL SAFARI KUHUSIANA NA TAMASHA LA MARY MGOGO JUMAPILI JINSI WALIVYOJIPANGA.

Daniel Safari ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili aliweza kufika katika ofisi ya Rumafrica akiongozana na mwimbaji wa nyimbo za Injili Mary Mgogo ambaye anatarajia kufanya uzinduzi video uake ya MUNGU WA AJABU katika ukumbi wa Ubungo Plaza siku ya Jumapili 05/07/2015 kuanzia saa 8mchana na kuendelea.

Kutoka kulia ni Mary Mgogo, Silas Mbise na Daniel Safafri

Silas Mbise alikuwa na maswali mengi sana kuhusiana na tamasha hili ambalo linaonekana ni la kipekee sana ukifanananisha na matamasha mengine yaliyofanyika Tanzania. Rumafrica ikaoana ni vizuri ikuletee hapo ulipo ili uweze kujua mengi kuhusiana na mahojiano haya. Tusikilize sana.

Comments