RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MPIGA NDONDI DUNIA PAQUINO AKIHUBIRI


Habari na MJAP.INC
Kutoka kwenye mtandao wake wa kijamii wa facebook ,zimepostiwa picha za Mwanamasumbwi nguli toka Ufilipino Manny Pacquiao ambaye alijitwalia umaarufu mkubwa baada ya kuandaliwa pambano la ngumi na MayWeather mapema mwaka huu, picha hizo zinamuonesha Manny akiwa katika mkutano mkubwa wa injili akihubiri.

Katika post hiyo pia Manny ameandika "
Thank you Lord for the privilege to preach the Word of God to the people today" akimaanisha"Asante Bwana kwa nafasi hii kuhubiri neno la Mungu kwa watu siku ya leo""

Awali mwanamasumbwi huyo alitokea kuungwa mkono na kupendwa na watu wengi baada ya watu kuambiwa kua licha ya Pacquiao kua bondia lakini pia ni mchungaji

Comments