RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MC JERRY AZIDI KUFANYA MAKUBWA KATIKA UKUMBI WA PICCOLO BEACH HOTEL MIKOCHENI KATIKA HARUSI YA JANETH NA TUMANIEL



Rumafrica ilijisogeza katika Ukumbi wa Piccolo Hotel na kumuona mtumishi wa Mungu MC Jerry akifanya vitu vyako, baada ya kuona hivyo iliamua kuchomoa kamera yake kutoka katika mfuko na kuitega mahali ambapo MC Jery hakuweza kuiona na kufanya shooting ili kupata clip fulani AMAZING kwaajili yako wewe unayosoma  sasa. Sasa chungulia kido hiki utaona USIMATI WA MC JERRY.

Ukiata kufanyiwa kazi kama hii au shooting katika tukio lako wasiliana na Rumafrica +255 715 851 na tutakusambazia mitandaoni 523

Comments