Select Menu

News

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" JUMAPILI HII

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» »Unlabelled » BAHATI BUKUKU NDANI YA MEGA MKATE NA PRAISE POWER RADIO


Sanga Rulea 5:34 AM 0

Yaani siku hiyo sipati picha, hakuna asiyemjua Bahati Bukuku, ni mwimbaji ambaye amekonga mioyo ya watu, na watu wamebarikiwa sana na huduma yake. Mungu amempa karama hiyo ya uimbaji na imekuwa msaada mkubwa sana kwa wanadamu. Siku ya Pasaka atakuwepo ukumbini kukubariki wewe na ndugu zako kwa njia ya uimbaji. Kwahiyo usikose kufika na rafiki zako ili muweze kuona mkono wa Mungu kupitia kwa Mtumishi wa Mungu Bahati Bukuku. Kuna mengi amekuandalia ambayo hujawahi kuyasikia katika uimbaji wake . Usikoke


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS