RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BEYONCE AFUNGUA KANISA LAKE NA KULIPA JINA LA "THE INTERNATIONAL CHURCH OF BEY" NA ANATUMIA BIBLIA YAKE


Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?
Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The International Church of Bey" means church of Beyonce.
Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother Bey" 
Katika kanisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na Vazi la yesu, na nyingine akiwa na vazi LA papa wa dhehebu LA RC. 

Amekuwa akiitwa Mungu wa kike.. Na dini yake inaitwa "Beyism" ambapo pia wanatumia biblia yao inayoitwa Beyble, inamzungumzia Beyonce kama mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumuita Goddess.. 
Dini hiyo ya Beyism ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa Mungu huyo Beyonce, watu maarufu kama Kanye west, Mariah carrey na wengine.

Comments