MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

PICHA ZA AWALI KUTOKA ARUSHA TUNZO ZA HESHIMA KWA WAINJILISTI

Picha zimetolewa na Gospel Kitaaa. Mungu aibariki team ya Gospel Kitaa kwa kazi nzuri


Ni mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Afrika (Afrika Graduate University) tokea kuanza kwake, ambapo watumishi 17 kutoka maeneo mbalimbali wametambulika na mchango wao kutambuliwa, na hatimaye kutunukiwa shahada (shahada ya kwanza, ya uzamili, na uzamivu) katika tasnia ya uenezaji wa injili.

Tukio hili la kihistoria ambalo limefanyika Jijini Arusha, limetolewa na Chuo Kikuu cha Serikali ya Sierra Leone, ambacho huangalia mchango ambao mtu amefanya kwenye jamii, tofauti na desturi ya wengi kuongea baada ya mtu kutangulia mbele.
Gospel Kitaa ilipiga kambi, na inakuletea picha za awali kama ifuatavyo.
wahitimu wakiingia

BONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO KUONA MATUKIO MENGINE MENGIKatibu wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania, Stella JoelCinematographers kazini

MC wa shughuli, Mchungaji Lucy Wilson

BONYEZA HAPA KUONA MATUKIO MENGINE YA MAHAFALI HAYA YA 27

0