RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAAJABU: HATIMAYE SASA JIJI LA YERUSALEMU LAONEKANA ANGANI NCHINI MAREKANI


by 
Jesus city
 Watu wakionyeshana mji wa Yerusalemu ya mbinguni ukionekana kwa mbali katika mawingu huko california nchini USA katika hali isiyokuwa ya kawaida, jiji la Yesu yaani Yerusalem mpya limeonekana angani likiwa limefunikwa na mawingu katika baadhi ya sehemu zake. Hii si mara ya kwanza kwa jiji hili kuonekana angani, mwaka 2011 lilionekana nchini Nigeria, mnamo mwaka 2015 lilioneka katika mji mmoja huko China na October 2015 limeonekana katika anga la mji wa California nchini marekani, mashuhuda wanadai kwamba waliona majengo mazuri na sauti za mashine zikisikika kutoka katika mji huo. Zaidi sana inadaiwa kwamba mji ule ule na majengo yale yale yaliyoonekana china ndiyo yameonekana tena october 2015 California nchini marekani. Hii ni dalili ya kuwa mwana wa adamu yuko mlangoni, na inawezekana huu ndiwo wakati ambao kanisa linanyakuliwa ili kupisha nafasi ya mpinga kristo. mimi na wewe tupambane twende katika unyakuo wa  kwanza, maana taabu dhiki na mateso vitaikumba dunia.
Bwana atusaidie kwa jina la Yesu…….
Source: Mospek blog

Comments